sw_tn/ecc/04/07.md

12 lines
279 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hana mwana, wala ndugu
Mtu huyu hana familia.
# macho yake hayatosheki
"haridhiki"
# Ninajisumbua na kuharibu furaha yangu kwa ajili ya nani?
"Kuna mtu atakaye faidi kutokana na mimi kufanya kazi kwa bidii na kutofurahi?" au "Kazi yangu hamfaidishi yeyote na sina furaha"