# hana mwana, wala ndugu Mtu huyu hana familia. # macho yake hayatosheki "haridhiki" # Ninajisumbua na kuharibu furaha yangu kwa ajili ya nani? "Kuna mtu atakaye faidi kutokana na mimi kufanya kazi kwa bidii na kutofurahi?" au "Kazi yangu hamfaidishi yeyote na sina furaha"