sw_tn/ecc/03/16.md

16 lines
334 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nimeona ... ubaya upo ... ina ubaya
Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na inasisitiza jinsi gani tabia ya uovu ni kawaida.
# ubaya upo
"kawaida watu wanapata ubaya"
# Nikasema moyoni mwangu
"Nikajiambia"
# kila jambo na kila tendo
Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na zinaashiria kila tendo wafanyao binadamu.