# nimeona ... ubaya upo ... ina ubaya Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na inasisitiza jinsi gani tabia ya uovu ni kawaida. # ubaya upo "kawaida watu wanapata ubaya" # Nikasema moyoni mwangu "Nikajiambia" # kila jambo na kila tendo Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na zinaashiria kila tendo wafanyao binadamu.