sw_tn/ecc/02/13.md

16 lines
426 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hekima ina faida kuliko upumbavu, kama nuru ilivyo bora kuliko giza
hekima ni bora kuliko upumbavu, kama vile nuru ilivyo bora kuliko giza.
# Mwenye hekima hutumia macho yake katika kichwa chake kuona mahali anakoenda
"Mtu mwenye hekima ni kama mtu anayetumia macho yake kuona anapoenda"
# hutumia macho yake katika kichwa chake
"anaona"
# mpumbavu hutembea katika giza
"mpumbavu ni kama mtu anayetembea katika giza"