# hekima ina faida kuliko upumbavu, kama nuru ilivyo bora kuliko giza hekima ni bora kuliko upumbavu, kama vile nuru ilivyo bora kuliko giza. # Mwenye hekima hutumia macho yake katika kichwa chake kuona mahali anakoenda "Mtu mwenye hekima ni kama mtu anayetumia macho yake kuona anapoenda" # hutumia macho yake katika kichwa chake "anaona" # mpumbavu hutembea katika giza "mpumbavu ni kama mtu anayetembea katika giza"