sw_tn/ecc/02/07.md

12 lines
409 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nilikuwa na watumwa waliozaliwa katika ikulu yangu
"watumwa wangu walizaa watoto nao pia walikuwa watumwa wangu"
# hazina ya wafalme na majimbo
Hii inamaanisha dhahabu na utajiri mwingine ambao nchi jirani ulilazimishwa kulipa kwa mfalme wa Israeli.
# kufurahia kutoka kwa wana wa wanadamu, masulia na wanawake
"Niliwafurahia sana wake wangu wengi na masulia kama mwaname yeyote ambavyo angewafurahia"