# nilikuwa na watumwa waliozaliwa katika ikulu yangu "watumwa wangu walizaa watoto nao pia walikuwa watumwa wangu" # hazina ya wafalme na majimbo Hii inamaanisha dhahabu na utajiri mwingine ambao nchi jirani ulilazimishwa kulipa kwa mfalme wa Israeli. # kufurahia kutoka kwa wana wa wanadamu, masulia na wanawake "Niliwafurahia sana wake wangu wengi na masulia kama mwaname yeyote ambavyo angewafurahia"