sw_tn/ecc/01/07.md

16 lines
507 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Mwandishi anaendela na mpangilio halisi wa mtazamo.
# Kila kitu huwa uchovu
Kwa kuwa binadamu hawezi kueleza vitu hivi, inakuwa haina maana kujaribu. "kila kitu kinachosha"
# Jicho halishibi na kile linachokiona
Mtu hawezi kufikia maelezo rahisi kwa kila anachokiona. "Mtu haridhiki na kile ambacho macho yake yanaona"
# wala sikio halishibi na kile linachosikia
Mtu hawezi kufikia maelezo rahisi kwa kila anachosikia. "wala mtu haridhiki na kile ambacho masikio yake yanasikia""