# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendela na mpangilio halisi wa mtazamo. # Kila kitu huwa uchovu Kwa kuwa binadamu hawezi kueleza vitu hivi, inakuwa haina maana kujaribu. "kila kitu kinachosha" # Jicho halishibi na kile linachokiona Mtu hawezi kufikia maelezo rahisi kwa kila anachokiona. "Mtu haridhiki na kile ambacho macho yake yanaona" # wala sikio halishibi na kile linachosikia Mtu hawezi kufikia maelezo rahisi kwa kila anachosikia. "wala mtu haridhiki na kile ambacho masikio yake yanasikia""