sw_tn/deu/25/17.md

36 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya Jumla:
Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja.
# Kumbuka ni jambo gani Amaleki alichofanya kwako
Hii ni lahaja, na "Amaleki" ni lugha nyingine kwa ajili ya watu wa Amaleki. "Kumbukeni kile Waamaleki walichowafanyia"
# ulipokuwa ukitoka
Neno "ukitoka" hapa ni katika wingi.
# jinsi alivyokutana na wewe barabarani
"jinsi walivyokutana na wewe njiani"
# na kuwashambulia kati yenu kwa nyuma
"na kushambulia wale watu wenu waliokuwa mstari wa nyuma"
# wale waliokuwa wamelegea nyuma
"watu wote waliokuwa dhaifu nyuma ya mstari"
# dhaifu na kuchoka
Maneno haya yana maana moja na yanasisitiza jinsi watu walivyokuwa wamechoka. "kuchoka na kuchoka kabisa"
# hakumheshimu Mungu
Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "hakuwa anaogopa adhabu ya Mungu" au "hakumheshimu Mungu"
# unapaswa kufuta kumbukumbu ya Waamaleki chini ya mbingu
"unatakiwa kuwaua Waamaleki wote ili kwamba hakuna yeyote atakayewakumbuka tena"