# Taarifa ya Jumla: Musa anaendelea kuzungumza na watu wa Israeli kana kwamba walikuwa mtu mmoja, kwa hiyo neno "yako" hapa ni katika umoja. # Kumbuka ni jambo gani Amaleki alichofanya kwako Hii ni lahaja, na "Amaleki" ni lugha nyingine kwa ajili ya watu wa Amaleki. "Kumbukeni kile Waamaleki walichowafanyia" # ulipokuwa ukitoka Neno "ukitoka" hapa ni katika wingi. # jinsi alivyokutana na wewe barabarani "jinsi walivyokutana na wewe njiani" # na kuwashambulia kati yenu kwa nyuma "na kushambulia wale watu wenu waliokuwa mstari wa nyuma" # wale waliokuwa wamelegea nyuma "watu wote waliokuwa dhaifu nyuma ya mstari" # dhaifu na kuchoka Maneno haya yana maana moja na yanasisitiza jinsi watu walivyokuwa wamechoka. "kuchoka na kuchoka kabisa" # hakumheshimu Mungu Maana kamili ya kauli hii inaweza kuwekwa wazi. "hakuwa anaogopa adhabu ya Mungu" au "hakumheshimu Mungu" # unapaswa kufuta kumbukumbu ya Waamaleki chini ya mbingu "unatakiwa kuwaua Waamaleki wote ili kwamba hakuna yeyote atakayewakumbuka tena"