sw_tn/deu/06/04.md

12 lines
360 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.
# Yahwe Mungu wetu ni mmoja
"Mungu Yahwe wetu ni mmoja na pekee Mungu"
# kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, na nguvu zako zote
Haya maneno yaliounganishwa yanasisitiza kwamba mtu anapaswa kumpenda Mungu kabisa na kwa ukamilifu kujitoa kwake.