# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja. # Yahwe Mungu wetu ni mmoja "Mungu Yahwe wetu ni mmoja na pekee Mungu" # kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, na nguvu zako zote Haya maneno yaliounganishwa yanasisitiza kwamba mtu anapaswa kumpenda Mungu kabisa na kwa ukamilifu kujitoa kwake.