forked from WA-Catalog/sw_tn
360 B
360 B
Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwambia watu wa Israeli maneno ya Yahwe kama wanaisraeli wako mtu mmoja.
Yahwe Mungu wetu ni mmoja
"Mungu Yahwe wetu ni mmoja na pekee Mungu"
kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, na nguvu zako zote
Haya maneno yaliounganishwa yanasisitiza kwamba mtu anapaswa kumpenda Mungu kabisa na kwa ukamilifu kujitoa kwake.