sw_tn/deu/02/06.md

36 lines
974 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuelekeza Israel kwa namna watakavyowatendea wazao wa Esau
# Utanunua chakula toka kwao
Yahwe anawapa ruhusa au maelekezo, siyo amri, na anawambia wasiibe. "Ninakuamuru kununua chakula kutoka kwao" au "kama unahitaji chakula, utanunua kutoka kwao"
# kutoka kwao
"kutoka uzao wa Esau"
# kwa pesa
Kama haya maneno hayaitajiki au kufanya tofasiri kutokuwa sahihi, unaweza kuyatoa.
# Mungu wenu amewabariki ninyi...mikono yenu...kutembea kwenu...Mungu wenu...pamoja nanyi, na hamjapungukiwa.
Musa azungumza kwa wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja, basi mifano "wewe" na "vyao" ni umoja
# nyie katika kazi zenu za mkono
Hii "kazi za mkono yenu" urejea kwa kazi yote waliofanya.
# amejua kutembea kwenu
Hili ni neno lenye maana sawa kwa "anajua kile kilichotokea kwenu wakati mlipokuwa mnatembea."
# miaka arobaini
40 miaka
# hamjapungukiwa kitu chochote
Hii inatumika kama takwimu ya hotuba "umekuwa na kila kitu ulichohitaji."