# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuelekeza Israel kwa namna watakavyowatendea wazao wa Esau # Utanunua chakula toka kwao Yahwe anawapa ruhusa au maelekezo, siyo amri, na anawambia wasiibe. "Ninakuamuru kununua chakula kutoka kwao" au "kama unahitaji chakula, utanunua kutoka kwao" # kutoka kwao "kutoka uzao wa Esau" # kwa pesa Kama haya maneno hayaitajiki au kufanya tofasiri kutokuwa sahihi, unaweza kuyatoa. # Mungu wenu amewabariki ninyi...mikono yenu...kutembea kwenu...Mungu wenu...pamoja nanyi, na hamjapungukiwa. Musa azungumza kwa wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja, basi mifano "wewe" na "vyao" ni umoja # nyie katika kazi zenu za mkono Hii "kazi za mkono yenu" urejea kwa kazi yote waliofanya. # amejua kutembea kwenu Hili ni neno lenye maana sawa kwa "anajua kile kilichotokea kwenu wakati mlipokuwa mnatembea." # miaka arobaini 40 miaka # hamjapungukiwa kitu chochote Hii inatumika kama takwimu ya hotuba "umekuwa na kila kitu ulichohitaji."