sw_tn/dan/10/20.md

28 lines
840 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mkuu wa Uajemi
"mkuu" hurejelea roho ambayo inatawala na kulilinda taifa la watu. "mkuu wa roho ya uajemi"
# Lakini nitakwambia
Hii ina maana kwamba Malaika atamwambia Danieli juu ya hili muda mfupi kabla hajaenda mbali.
# kile kilichoandikwa katika Kitabu cha Ukweli
Kauli hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "kile Kitabu cha Ukweli kinayasema" au "kile ambacho mtu fulani alikiandika katika Kitabu cha Ukweli.
# yeyote anayejionesha kuwa na nguvu
"yeye anayejihakikisha kuwa na nguvu"
# isipokuwa Mikaeli mkuu wenu
Kirai hiki chaweza kuelezeka kama sentensi inayojitegemea. "Mikaeli mkuu wako ni yeye pekee ambaye huyatenda haya"
# Mikaeli mkuu wenu
Neno "wenu" liko katika wingi. Linamrejelea Danieli na watu wengine waliosalia wa Israeli.
# Mkuu
Angalia jinsi ulivyotafsiri "mkuu" inapomrejelea Mikaeli katika 10:12.