# mkuu wa Uajemi "mkuu" hurejelea roho ambayo inatawala na kulilinda taifa la watu. "mkuu wa roho ya uajemi" # Lakini nitakwambia Hii ina maana kwamba Malaika atamwambia Danieli juu ya hili muda mfupi kabla hajaenda mbali. # kile kilichoandikwa katika Kitabu cha Ukweli Kauli hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "kile Kitabu cha Ukweli kinayasema" au "kile ambacho mtu fulani alikiandika katika Kitabu cha Ukweli. # yeyote anayejionesha kuwa na nguvu "yeye anayejihakikisha kuwa na nguvu" # isipokuwa Mikaeli mkuu wenu Kirai hiki chaweza kuelezeka kama sentensi inayojitegemea. "Mikaeli mkuu wako ni yeye pekee ambaye huyatenda haya" # Mikaeli mkuu wenu Neno "wenu" liko katika wingi. Linamrejelea Danieli na watu wengine waliosalia wa Israeli. # Mkuu Angalia jinsi ulivyotafsiri "mkuu" inapomrejelea Mikaeli katika 10:12.