sw_tn/dan/10/07.md

24 lines
784 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hivyo niliachwa peke yangu
"Hakuna yeyote aliyekuwa pamoja nami, na niliona"
# mwonekano wangu wa kung'aa ulibadilika na kuwa mwonekano wa uharibifu
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "mwonekano wangu unaong'aa ulibadilika kuwa katika mwonekano ulioharibiwa"
# mwonekano wangu wa kung'aa
Hii inaelezea juu ya uso wa mtu fulani ambaye ana afya nzuri.
# Mwonekano ulioharibiwa
Uso mbaya, usio na afya na wa kikatili unasemwa kana kwamba ni jengo.
# Nilisikia maneno yake
Hii ina maana kwamba mtu fulani alikuwa anazungumza katika maono. Hii yaweza kuwekwa wazi. "Nilisikia maneno ya mtu aliyekuwa anaongea"
# nilianguka kifudifudi na kupata usingizi mzito
Danieli aliogopeshwa na kile alichokiona na ya kwamba huenda alilala chini ardhini, mahali ambapo alizimia.