sw_tn/dan/08/15.md

16 lines
454 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mfereji wa Ulai
Mfereji ni shimo lililotengenezwa na watu kwa ajili ya kupitisha maji.
# sauti ya mtu ikiita
Mahali mtu amerejelewa kwa sauti yake. "mtu alikuwa akiita kutoka mfereji wa Ulai"
# nilisujudia hadi chini
Hili ni tendo la ibada ambalo katika hilo mtu fulani hulala wima juu ya nchi.
# wakati wa mwisho
"siku za mwisho" au "mwisho wa dunia" Hii hairejelei mwisho wa muda kidogo, bali matendo ambayo yatatokea ghafla kabla ya mwisho.