# mfereji wa Ulai Mfereji ni shimo lililotengenezwa na watu kwa ajili ya kupitisha maji. # sauti ya mtu ikiita Mahali mtu amerejelewa kwa sauti yake. "mtu alikuwa akiita kutoka mfereji wa Ulai" # nilisujudia hadi chini Hili ni tendo la ibada ambalo katika hilo mtu fulani hulala wima juu ya nchi. # wakati wa mwisho "siku za mwisho" au "mwisho wa dunia" Hii hairejelei mwisho wa muda kidogo, bali matendo ambayo yatatokea ghafla kabla ya mwisho.