sw_tn/dan/07/27.md

40 lines
878 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Danieli anaendelea kuongea na mtu yule aliyemwona katka maono.
# maelezo ya jumla
Vifungu vingi vya mistari ya 23-17 vinatumia lugha ya picha.
# Ufalme na utawala....watapewa watu walio wa wat
Hii yaweza kuelezwa kwa muuundo tendaji. "Mungu atawapa watu...ufalme na utawala...
# Ufalme na utawala
Maneno haya maweili yana maana ile ile na yanatia mkazo juu ya miundo yote ya mamlaka rasmi
# ukubwa wa falme
Nomino dhahania "ukubwa" yaweza kutafsiriwa kwa kivumishi "kubwa"
# chini ya mbingu yote
Nahau "chini ya mbingu yote" inarejelea falme juu ya nchi.
# ufalme wake
"ufalme wa Mungu aliye juu"
# ufalme wa milele
"ufalme ambao utadumi milele" au " ufalme ambao hautakoma"
# Na huu ndio mwisho wa mambo
Hii ina maana kwamba Danieli amemaliza kuelezea maono yake.
# mwonekano wa uso wangu ulibadilika
"uso wangu ulikuwa dhaifu/hafifu"