# Maelezo ya jumla Danieli anaendelea kuongea na mtu yule aliyemwona katka maono. # maelezo ya jumla Vifungu vingi vya mistari ya 23-17 vinatumia lugha ya picha. # Ufalme na utawala....watapewa watu walio wa wat Hii yaweza kuelezwa kwa muuundo tendaji. "Mungu atawapa watu...ufalme na utawala... # Ufalme na utawala Maneno haya maweili yana maana ile ile na yanatia mkazo juu ya miundo yote ya mamlaka rasmi # ukubwa wa falme Nomino dhahania "ukubwa" yaweza kutafsiriwa kwa kivumishi "kubwa" # chini ya mbingu yote Nahau "chini ya mbingu yote" inarejelea falme juu ya nchi. # ufalme wake "ufalme wa Mungu aliye juu" # ufalme wa milele "ufalme ambao utadumi milele" au " ufalme ambao hautakoma" # Na huu ndio mwisho wa mambo Hii ina maana kwamba Danieli amemaliza kuelezea maono yake. # mwonekano wa uso wangu ulibadilika "uso wangu ulikuwa dhaifu/hafifu"