sw_tn/dan/07/17.md

20 lines
358 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hawa wanyama nne wakubwa
"Hawa ni wanyama wakubwa"
# ni wafalme wanne
"inawakilisha wafalme wanne"
# wafalme wanne ambao watatoa katika nchi
Hapa maneno "kutoka katika nchi" ina maana ya kuwa ni watu wa kawaida.
# wataumiliki
"watatawala juu yake"
# milele na milele
Haya mawazo ya kujirudia yanatia mkazo kwamba ufalme huu hautakuwa na mwisho.