# Hawa wanyama nne wakubwa "Hawa ni wanyama wakubwa" # ni wafalme wanne "inawakilisha wafalme wanne" # wafalme wanne ambao watatoa katika nchi Hapa maneno "kutoka katika nchi" ina maana ya kuwa ni watu wa kawaida. # wataumiliki "watatawala juu yake" # milele na milele Haya mawazo ya kujirudia yanatia mkazo kwamba ufalme huu hautakuwa na mwisho.