sw_tn/dan/07/11.md

24 lines
844 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Danieli anaendelea kuelezea maono yake ya mahakama ya mbinguni katika kujibu mnyama wa nne aliyemwona katika 7:6
# mnyama anauliwa...kwa ajili ya kuchomwa moto
Kauli hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "walimwua mnyama wa nne, wakaharibu mwili wake na wakampa mtu fulani ili auchome."
# mnyama
Hii inamrejelea mnyama wa nne ambaye alikuwa na pembe kumi na pembe ile iliyojivuna.
# Na kwa wale wanyama wanne waliosalia,
Inaweza kuwa wazi kusema, "wanyama wengine watatu"
# mamlaka yao yalitwaliwa mbali,
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "hakimu aliyachukua mamlaka yao ya kutawala" au "mamlaka yao ya kutawala yalikoma'
# maisha yao yaliendelezea kwa kipindi fulani cha muda
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. " waliendelea kuishi kwa kipindi fulani cha muda" au "hakimu aliwaacha waishi kidogo"