sw_tn/dan/06/12.md

16 lines
315 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Je .haukuweka amri ....simba?
Walimwuliza swali hili ili kumfanya mfalme ahakikishe kuwa alikuwa ametoa amri.
# mtu yeyote akayefanya maombi
"ambaye afanyaye maombi"
# tundu la simba
Hii inarejelea chumba au shimo mahali simba walikuwa wanatunzwa.
# kama ilivyoelekezwa katika sheria
"kutokana na sheria"