sw_tn/dan/06/01.md

36 lines
771 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi kiunganishi
Matukio katika sura hii yalitukia baada ya Waajemi kuwaangusha Wababeli na Dariuo Mmedi alianza kutawala juu ya Babeli.
# Ilimpendeza Dario
"Mfalme Dario aliamua"
# magavana wa majimbo 120
"Magavana wa majimbo wapatao mia na ishirini"
# juu yao
Neno 'wao' linawarejelea magavana 120
# ili kwamba mfalme asipate hasara.
"ili kwamba chochote kisiibiwe kutoka kwa mfalme"
# alipambanuliwa juu
"alifaulu juu ya " au " alikuwa na uwezo kuliko"
# likuwa na roho isiyo ya kawaida
Mahali hapa "roho" inamrejelea Danieli. Inamaanisha kuwa kile alichokuwa nacho kilikuwa si cha kawaida kwa watu. "alikuwa ni mtu wa kipekee"
# isiyo kawaida
"ya kuvutia" au "bora"
# kumweka juu ya
"kumpa mamlaka juu ya " au " kumweka kuwa masimamizi wa "