# Sentensi kiunganishi Matukio katika sura hii yalitukia baada ya Waajemi kuwaangusha Wababeli na Dariuo Mmedi alianza kutawala juu ya Babeli. # Ilimpendeza Dario "Mfalme Dario aliamua" # magavana wa majimbo 120 "Magavana wa majimbo wapatao mia na ishirini" # juu yao Neno 'wao' linawarejelea magavana 120 # ili kwamba mfalme asipate hasara. "ili kwamba chochote kisiibiwe kutoka kwa mfalme" # alipambanuliwa juu "alifaulu juu ya " au " alikuwa na uwezo kuliko" # likuwa na roho isiyo ya kawaida Mahali hapa "roho" inamrejelea Danieli. Inamaanisha kuwa kile alichokuwa nacho kilikuwa si cha kawaida kwa watu. "alikuwa ni mtu wa kipekee" # isiyo kawaida "ya kuvutia" au "bora" # kumweka juu ya "kumpa mamlaka juu ya " au " kumweka kuwa masimamizi wa "