sw_tn/dan/05/20.md

32 lines
827 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# moyo ulipokuwa na kiburi
Mahali hapa neno "moyo" linamrejelea mfalme mwenyewe.
# roho yake ilifanywa kuwa mgumu
Mahali neno "roho" linamaanisha mfalme mwenyewe. Kiburi chake kinasemwa kana kwamba kilikuwa kimefanywa kuwa kigumu.
# kwa kiburi
"kwa kiburi na zaidi ya kujiamini
# alishushwa kutoka kiti chake cha enzi cha kifalme
Mahali "kiti cha enzi" kina maana ya mamlaka yake ya kutawala. Hii pia yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Watu waliutwaa ufalme wake."
# Aliondolewa katika ubinadamu
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. Watu walimfukuza atoke kati yao"
# alikuwa na akili za mnyama,
Mahali hapa neno "akili" lina maana ya mawazo. "Alifikiri kama vile mnyama anavyofikiri"
# umande
Ni unyevu nyevu ulio juu ya nchi ambao hupatikana nyakati za asubuhi.
# yeyote amtakaye
"yeyote amchaguaye"