sw_tn/dan/05/17.md

24 lines
583 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Zawadi yako na iwe kwa ajili yako
"Sihitaji zawadi zako"
# watu wote, mataifa, na lugha
Kirai hiki kina neno "wote" ili kuwakilisha namba kubwa.
# walimtetemekea na kumwogopa
Maneno haya kimsingi yanamaanisha kitu kile kile na yametumika kwa ajili ya kutia mkazo juu ya ukubwa wa hofu.
# Aliwauwa wale aliotaka wafe
Kirai hiki cha maneno hakina maana ya kwamba mfalme Nebukadneza hakuwauwa watu yeye mwenyewe, bali wale aliowaagiza.
# Aliwainua wale aliowataka
"Aliwainua wale aliowataka kuwainua"
# aliwashusha wale aliowataka.
"aliwashusha wale aliotaka kuwashusha"