# Zawadi yako na iwe kwa ajili yako "Sihitaji zawadi zako" # watu wote, mataifa, na lugha Kirai hiki kina neno "wote" ili kuwakilisha namba kubwa. # walimtetemekea na kumwogopa Maneno haya kimsingi yanamaanisha kitu kile kile na yametumika kwa ajili ya kutia mkazo juu ya ukubwa wa hofu. # Aliwauwa wale aliotaka wafe Kirai hiki cha maneno hakina maana ya kwamba mfalme Nebukadneza hakuwauwa watu yeye mwenyewe, bali wale aliowaagiza. # Aliwainua wale aliowataka "Aliwainua wale aliowataka kuwainua" # aliwashusha wale aliowataka. "aliwashusha wale aliotaka kuwashusha"