sw_tn/dan/05/13.md

16 lines
556 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ndipo Danieli alipoletwa mbele ya mfalme
Hii yaweza kuelezwa kwa kutumia muundo tendaji. "Kisha walimleta Danieli mbele ya mfalme" au "wanajeshi walimleta Danieli mbele ya mfalme"
# ambao baba yangu mfalme aliwaleta kutoka Yuda
Katika kirai hiki, neno "baba" limetumika kumaanisha wanajeshi wote.
# roho ya miungu
Belshaza aliamini kuwa nguvu za Danieli zilitoka kwa miungu ya uongo ambayo Belshaza aliiabudu.
# mwanga na ufahamu na hekima bora inapatikana ndani yako
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "una mwanga na ufahamu na hekima bora"