sw_tn/dan/03/11.md

32 lines
809 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtu yeyote asiyeanguka na kuiabudu sharti atupwe katika tanuru linalowaka moto
Tungo hii yaweza kuelezwa kwa kutumia muundo tendaji. "Wanajeshi watawatupa katika tanuru liwakalo moto mtu yeyote ambaye hatalala chini na kuabudu."
# kuanguka chini
Hili ni tendo la ishara ya kuabudu
# tanuru la moto
Hiki ni chumba kikubwa chenye moto mkali
# masuala
"mambo" au "shughuli"
# Shadraka, Meshaki, na Abednego
Haya yalikuwa ni majina ya Kibabeli ya vijana watau wa Kiyahudi ambao walikuwa ni marafiki wa Danieli.
# hawakutii wewe
"hawakusikilizi wewe"
# kuisujudia wenyewe
Hii ni ishara ya tendo la kuabudu
# sanamu ya dhahabu ambayo umeiweka
Hii inazungumzia juu ya mfalme Nebukadneza kutoa amri ya kujengwa kwa sanamu kana kwamba yeye mwenyewe aliijenga. "Sanamu uliyowaagiza watu wako waijenge"