sw_tn/dan/02/03.md

24 lines
503 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akili yangu ina mashaka
hapa neno "akili" linamrejelea mfalme mwenyewe.
# mashaka
"kusumbuka"
# Kiaramaiki
Hii ni lugha ambayo watu wa Babeli waliiongea.
# " Mfalme, aishi milele!
Watu waliyasema maneno haya kuonesha heshima kwa mfalme. "Mfalme, tunatumaini utaishi milele"
# sisi, watumishi wako
Watu walijiita wao wenyewe kuwa ni watumishi wa mfalme kuonesha heshima.
# tutaifunua
Hapa kiwakilishi 'tu' kinarejelea watu/wanaume ambao mfalme alikuwa akiongea nao na hakimjumuishi mfalme.