# akili yangu ina mashaka hapa neno "akili" linamrejelea mfalme mwenyewe. # mashaka "kusumbuka" # Kiaramaiki Hii ni lugha ambayo watu wa Babeli waliiongea. # " Mfalme, aishi milele! Watu waliyasema maneno haya kuonesha heshima kwa mfalme. "Mfalme, tunatumaini utaishi milele" # sisi, watumishi wako Watu walijiita wao wenyewe kuwa ni watumishi wa mfalme kuonesha heshima. # tutaifunua Hapa kiwakilishi 'tu' kinarejelea watu/wanaume ambao mfalme alikuwa akiongea nao na hakimjumuishi mfalme.