sw_tn/col/04/12.md

32 lines
612 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa Jumla:
Leodekia na Hierapoli walikwa mjini karibu na Kolosai.
# Epafra
Epafra alikuwa mtu aliyehubiri injili kwa watu wa Kolosai.
# mmoja wenu
"kutoka mji wenu" au "mwanamji mwenzenu"
# mtumwa wa Kristo Yesu
"ni kamati ya wanafunzi wa Kristo Yesu"
# wakati wote najitahidi kukuweka katika maombi
"Naomba kwa bidii kwa aljili yako"
# uweze kusimama kikamilifu na uhakika
"uweze kukomaa na kuwa jasiri"
# Mimi ni shahidi yake, kwamba alifanya kazi ngumu kwa ajili yenu
"Nimefanya uchunguzi kwamba alifanya kazi ngumu sana kwa ajili yenu"
# Dema
Ni mtendakazi mwingine pamoja na Paulo.