sw_tn/col/04/05.md

16 lines
507 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Enenda kwa hekima kwa wale walioko nje
Wazo la kuenenda mara nyingi limetumika kwa ajili kungoza maisha ya mtu. "ishi kama kwamba wale ambao sio waamini wataona kwamba mnahekima"
# kuokoa mda
"fanya mambo mazuri mnayoweza kwa mda wako" au "weka mda wako kwa busara"
# maneno yenu yawe na neema wakati wote. wakati wote ikolee chumvi
"Mazungumzo yenu wakati wote yawe na neema na ya kuvutia."
# lazima mjue jinsi ya kuwajibu
" lazima ujue namna ya kujibu maswali ya kila mmoja kuhusu Yesu Kristo"