# Enenda kwa hekima kwa wale walioko nje Wazo la kuenenda mara nyingi limetumika kwa ajili kungoza maisha ya mtu. "ishi kama kwamba wale ambao sio waamini wataona kwamba mnahekima" # kuokoa mda "fanya mambo mazuri mnayoweza kwa mda wako" au "weka mda wako kwa busara" # maneno yenu yawe na neema wakati wote. wakati wote ikolee chumvi "Mazungumzo yenu wakati wote yawe na neema na ya kuvutia." # lazima mjue jinsi ya kuwajibu " lazima ujue namna ya kujibu maswali ya kila mmoja kuhusu Yesu Kristo"