sw_tn/col/03/05.md

56 lines
1.4 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# fisheni, mambo yaliyo katika nchi
Paulo anazungumzia tamaa ya dhambi kana kwamba walikuwa sehemu ya kutumia watu kuwashuhudia.
# Uchafu
"tabia zisizo safi"
# shauku
"kutamani kwa nguvu"
# na tamaa, ambayo ni Ibada ya sanamu
"na tamaa, ambayo ni sawa na ibada ya sanamu" au " na msiwe na tamaa kwa sababu ni sawa na kuabudu miungu"
# ghadhabu ya Mungu
hasira ya Mungu kinyume na wale ambao hufanya uovu kama kuonyesha kwa kile anafanyacho kuwaadhibu.
# wana wasiotii kutotii.
"mwanadamu kutotii" au "watu ambao hawamtii"
# "Ni katika mambo haya kwamba ninyi pia hapo kwanza mlitembea kwayo mlipoishi nao."
"Paulo anazungumzia vile ambavyo tabia ya mtu kana kwamba ilikuwa barabara au njia anayotembelea. "Haya ni yale mliyokuwa mkiyafanya"
# mlipoishi kati yao
Inaweza kuwa na maana hizi? 1) "unapokuwa umefanyia mazoezi haya mambo" au 2) "unapokuwa umeishi miongoni mwa watu ambao hawamtii Mungu"
# ghadhabu, hasira
Neno "hasira" hapa linamaanisha wakati mtu anapokuwa na hasira kwa wale ambao hawamuheshimu kama kuonyesha kwa matendo yake, ambapo italeta madhara kwa watu.
# nia mbaya
"tamaa ya kufanya matendo maovu"
# hasira
hasira kali sana
# matusi
"kururu" au "lugha chafu." Hii inarejea kwa hotuba ambayo inatumika kwa dhamira ya kuumiza wengine
# hotuba ichukizayo
maneno ambayo yasioyofaa katika mazungumzo ya upole
# kutoka kinywani kwenu
Hapa "kinywa" inasimama badala ya kuzungumza. "katika mazungumzo yenu"