forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1.2 KiB
Markdown
28 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# wakati mlipokuwa mmekufa
|
||
|
|
||
|
"wakati ninyi waumini wa Kolosai mlikuwa mmekufa kiroho"
|
||
|
|
||
|
# mlikuwa mmekufa .... aliwafanya kuwa hai
|
||
|
|
||
|
Fumbo hili linaonesha jinsi gani baada ya kutoka katika maisha ya dhambi kwenda maisha mapya ya kiroho ilivyo kama mtu anayefufuka kutoka kifo.
|
||
|
|
||
|
# mmekufa katika hatia zenu na kutokutahiriwa kwa miili yenu
|
||
|
|
||
|
mlikuwa mmekufa katika mambo mawili: 1) mlikuwa mmekufa kiroho, mkiishi maisha ya dhambi dhidi ya Kristo na 2) mlikuwa hamkutahiriwa kulingana na sheria ya Musa.
|
||
|
|
||
|
# alitusamehe sisi hatia zetu zote
|
||
|
|
||
|
"Yesu Kristo alitusamehe sisi Wayahudi na ninyi watu wa Mataifa makosa yetu yote"
|
||
|
|
||
|
# alifuta kumbukumbu za madeni zilizoandikwa na taratibu zilizokuwa kinyume nasi
|
||
|
|
||
|
Fumbo hili hufananisha jinsi ambavyo Mungu anaweza kuondoa dhambi (deni zetu) na kutusamehe sisi kwa kuvunja sheria za Mungu (taratibu) kama ambavyo mtu anaweza kufuta kitu kilichoandikwa kwenye karatasi.
|
||
|
|
||
|
# aliwaongoza katika ushindi na milki
|
||
|
|
||
|
Katika kipindi cha Warumi, ilikuwa kawaida kwa jeshi la Kirumi kuwa na "gwaride la ushindi" waliporudi nyumbani, kuonesha wafungwa wote na mali walizoteka.
|
||
|
|
||
|
# kwa msalaba
|
||
|
|
||
|
Hapa "msalaba" unasimama bdala ya kifo cha Kristo msalabani.
|