sw_tn/col/01/04.md

24 lines
549 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tumeshasikia
Paulo anajiondoa katika wasikilizaji anasemapo "sisi"
# Imani yenu katika Kristo Yesu
"Kuamini kwenu katika Kristo Yesu"
# kwa sababu ya tarajio la uhakika lililohifadhiwa kwa ajili yenu mbinguni
Ambalo ni matokeo ya uhakika wenu wa tumaini kwa kile Mungu ametunza mbinguni
# kuzaa tunda na kuenea
Hapa Paulo anazungumzia kana kwamba kulikuwa mti au mche/mmea ambao ukuapo na kuzalisha chakula.
# ulimwenguni kote
Injili inaene na kukua kupitia dunia iliyojulikana.
# neema ya Mungu katika kweli
"neema ya Mungu ya kweli"