# Tumeshasikia Paulo anajiondoa katika wasikilizaji anasemapo "sisi" # Imani yenu katika Kristo Yesu "Kuamini kwenu katika Kristo Yesu" # kwa sababu ya tarajio la uhakika lililohifadhiwa kwa ajili yenu mbinguni Ambalo ni matokeo ya uhakika wenu wa tumaini kwa kile Mungu ametunza mbinguni # kuzaa tunda na kuenea Hapa Paulo anazungumzia kana kwamba kulikuwa mti au mche/mmea ambao ukuapo na kuzalisha chakula. # ulimwenguni kote Injili inaene na kukua kupitia dunia iliyojulikana. # neema ya Mungu katika kweli "neema ya Mungu ya kweli"