sw_tn/amo/07/10.md

12 lines
385 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kuhani
Maana ziwekanazo: 1) Amazia alikuwa kuhani pekee katika Betheli au 2) Amazia mkuu wa makuhani katika Betheli.
# amosi amefanya njama dhidi yako katikati ya nyumba ya Israeli
"Amosi yuko hapa katika nchi ya Israeli, na anapanga kufanya mambo mabay kwako"
# Nchi haiwezi kubeba maneno yote haya
"Watu wanaweza kumwamini na kisha kufanya mambo mabaya yatakayo haribu taifa"