# Kuhani Maana ziwekanazo: 1) Amazia alikuwa kuhani pekee katika Betheli au 2) Amazia mkuu wa makuhani katika Betheli. # amosi amefanya njama dhidi yako katikati ya nyumba ya Israeli "Amosi yuko hapa katika nchi ya Israeli, na anapanga kufanya mambo mabay kwako" # Nchi haiwezi kubeba maneno yote haya "Watu wanaweza kumwamini na kisha kufanya mambo mabaya yatakayo haribu taifa"