sw_tn/act/28/01.md

12 lines
296 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi:
Baada ya meli kuharibika, watu wa kisiwa cha Malta walimsaidia Paulo na wenzake waliokuwa kwenye meli. Walikaa pale miezi mitatu.
# kisiwa kilichoitwa Malta
Malta ni kisiwa kilichopo katika kisiwa kingine ambacho kwa sasa kinaitwa Sisili.
# watu asilia
wenyeji wa pale