# Sentensi unganishi: Baada ya meli kuharibika, watu wa kisiwa cha Malta walimsaidia Paulo na wenzake waliokuwa kwenye meli. Walikaa pale miezi mitatu. # kisiwa kilichoitwa Malta Malta ni kisiwa kilichopo katika kisiwa kingine ambacho kwa sasa kinaitwa Sisili. # watu asilia wenyeji wa pale