sw_tn/act/27/33.md

12 lines
317 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# 33Wakati mwanga wa asubuhi ulipokuwa unajitokeza
Kulipokuwa kukipambazuka
# Siku hii ni ya kumi na nne
Siku ya kumi na nne
# Hakuna hata unywele mmoja wa vichwa vyenu utakaopotea
Hii ilikuwa ni njia ya usemi ulio maanisha kwamba hakuna harari yoyote ingewapata. "Kila mmoja atakuwa salama katika dhoruba hii."