sw_tn/act/27/30.md

8 lines
335 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Boti ndogo ndogo za kuokolea maisha,
Hizi ni botti au melindogo ambazo hutolewa nyuma ya meli kubwa . boti hizi huwekwa kwa ajili ya kujiokolea wakati meli inataka kuzama
# Hamuwezi kuokoka isipokuwa hawa watu wanabaki kwenye meli.
Maneno ya nayayo semwa kinyume yakimaanisha hakuna uwezekano wa kuokoka mpaka watu wabaki melini.